Creato photo Kitengeneza Video

4.3
Maoni elfu 1.18
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Aplikesheni bora ya kuunda video za picha ili kutengeneza video za kuvutia zenye muziki za statasi ya whatsapp na stori za instagram. Aplikesheni hii ya kutengeneza video kutoka kwenye picha iliyo rahisi kutumia inakuruhusu kutengeneza video za kuvutia za picha, video kutoka kwenye picha zako pendwa na kukupa kumbukumbu nzuri.

Sasa unaweza kutengeneza video za kufurahisha na kusisimua kutoka kwenye picha bila ya kujuwa kuhariri video. Photo video maker ni rahisi kutumia na itabadili picha zako pendwa kwenda kwenye video nzuri za statasi ya whatsapp, stori za instagram, na video za picha. Ongeza muziki kwenye video zako kwa picha.

Chunguza mipangilio kadhaa, na athari ambazo zinazifanya video zako, video za picha na muvi ziwe tofauti na za wengine. Unaweza kutengeneza video kwa ajili ya kumbukizi ya kuzaliwa, mapenzi, anivesari na zaidi kwa wimbo na muziki.

Aplikesheni ya kutengeneza video ni rahisi kutumia na hufanya kutengeneza video kuwa kwenye kufurahisha kwa kiolesura chake rahisi.

Tumia aplikesheni ya kutengeneza video kutoka kwenye picha kuongeza muziki nyuma ya video yako ya picha, video za statasi, na stori kuzifanya zivutie zaidi

Hivi hapa ndio vinaifanya aplikesheni ya Creato photo to video maker iwe nzuri kwa kutengeneza video kali kutoka kwenye picha.

- Choose from different templates: Birthday, Love, Doodle, Cat & many more
- Add cool animations to your status videos
- You can download the created status videos and slideshows, share with family and friends
- Show off your amazing creations to everyone on social media

Creato ni aplikesheni yako pendwa ya kutengeneza video za picha ikiwa unataka kubadili picha zako pendwa kwenda kwenye video za kusisimua na video za picha.
Ilisasishwa tarehe
6 Feb 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Shughuli za programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 1.15

Vipengele vipya

Make amazing slideshow videos with a better user experience. Update Now!