Creato Kitengeneza Video

4.8
Maoni elfu 1.33
elfu 50+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
USK: Umri wa miaka yote
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Aplikesheni ya kuunda video za picha ili kutengeneza video za kuvutia zenye muziki kutoka kwenye picha zako. Tengeneza video za picha kutoka kwenye picha kwa urahisi bila kuhitaji ujuzi wowote wa kuhariri. Tumia aplikesheni ya Creato slideshow video maker kutengeneza video za statasi ya whatsapp, stori za Instagram na zaidi. Ongeza muziki kuzifanya picha zako ziwe tofauti na wengine.

Hii ni moja ya aplikesheni bora za kutengeneza video yenye vipengele maalum kama vichujio, vihamishaji kukusaidia kuchunguza ubunifu wako na kugeuza picha zako pendwa kwenda kwenye video na video za picha. Tuma video kwa marafiki zako na familia. Unaweza kutengeneza video bila kikomo kwa kutumia picha zako pendwa kwa aplikesheni hii ya bure ya kutengeneza video kutoka kwenye picha.

You can use fun templates like Travelling, Food, Fantasy Land, Princess, and Space Station, among others, to create unique and fun videos. This is a must-have status video maker for all young and old creators who want to create the best status for whatsapp.

Hivi hapa ndio vinavyoifanya aplikesheni hii ya kutengeneza video kutoka kwenye picha iwe ni kitu cha lazima kwa watengeneza maudhui na wapenzi wa mtandao:

1) Mikusanyiko Mikubwa ya Mionekano husaidia kutengeneza video mbalimbali za kuvutia na Stori za Instagram
2) Rahisi kutumia na hakuna uzoefu wa kuhariri unaohitajika
3) Mipangilio ya Nyuma & Muundo inaongeza mguso wa uzuri kwenye video zako
4) Kitengeneza Maneno & Ukubwa wa maneno hukusaidia kutengeneza maudhui mazuri yenye mvuto
5) Staili Tofauti za Stika za kuchagua kuzifanya video kuwa za kufurahisha na kusisimua
6) Vichujio & Athari kusaidia video zako ziwe tofauti na za wengine

Kutumia aplikesheni ya kutengeneza video kutoka kwenye picha ni rahisi. Chagua muonekano wako unaoutaka, ongeza picha zako pendwa, ongeza muziki na chagua ukubwa wako wa maneno unaoupenda, na hongera, sasa umebadili picha zako pendwa kwenda kwenye video ya picha.

Ukiwa na aplikesheni ya Creato 3D Slideshow Video Maker unaweza kubadili picha zako kwenda kwenye video nzuri ambazo unaweza kuzitumia kama video za statasi ya whatsapp na stori kwa ajili ya instagram, au kuzituma mwenyewe kwa mtu yoyote. Kutengeneza video kwa picha na muziki kamwe hakujawahi kuwa kwa kufurahisha na rahisi hivi!

Tengeneza video za picha, na video kwa kutumia aplikesheni ya Creato 3D photo to video maker. Ipakue leo bure na tengeneza video na stori za kuvutia.
Ilisasishwa tarehe
11 Sep 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Shughuli za programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.8
Maoni elfu 1.31

Vipengele vipya

Fixed minor bugs and improved app performance. Update Now!