Uber ni programu ya simu inayokupatia safari za haraka na za kuaminika—mchana au usiku. Hakuna haja ya kuegesha gari, kusubiri teksi au basi. Ukiwa na Uber, unausa simu yako tu na unaita gari, aidha ni rahisi kulipa kwa kutumia vocha au keshi kwa baadhi ya miji.
Iwe unaenda uwanja wa ndege au mjini, usafiri wa Uber unapatikana kila mahali. Uber inapatikana katika zaidi ya miji 500 kote ulimwenguni—weka programu ya Uber na uanze kufurahia huduma zetu leo.
Kuita usafiri wa Uber ni mboga kabisa—hivi ndivyo inavyofanya kazi: - Fungua programu na utuambie unakoelekea - Programu hii hutumia kipengele cha mahali ulipo ili dereva ajue mahali atakapokuchukua. - Utaona picha ya dereva wako, maelezo ya gari na utaweza kufuatilia safari yake ya kuja kukuchukua kwenye ramani. - Malipo yanaweza kufanywa kwa kutumia kadi ya vocha, keshi katika baadhi ya miji unaweza kutumia Android Pay, PayPal na mbinu nyingine. Baada ya safari, mkadirie dereva wako na utoe maoni ili utusaidie kuboresha huduma za Uber. Pia risiti ya safari yako kwa njia ya barua pepe.
Unahitaji njia rahisi ya kusafiri kwa haraka? Chukua uberX, chaguo la bei nafuu kwa mtu binafsi
Ungependa kuokoa pesa kwenye safari yako? Chagua uberPOOL—utasafiri na wasafiri wengine wanaoelekea unakoenda na ufurahie nauli nafuu.
Ungependa kusafiri kwa starehe zaidi? Chagua UberBLACK kwa safari za starehe. Na bado kuna mambo mengi ya kuchagua—iwe unasafiri na watu wengine, au unahitaji gari lililoundwa mahsusi kusaidia walemavu.
Angalia iwapo Uber inapatikana katika mji wako katika https://www.uber.com/cities Tufuatilie kwenye Twitter katika https://twitter.com/uber Tufuatilie kwenye Facebook katika https://www.facebook.com/uber
Je, una swali? Tembelea uber.com/help.
Maudhui/ujumbe wa Uber huenda ukatafsiriwa na binadamu au mashine kwa kifaa, usahihi hauhakikishwi.
Ilisasishwa tarehe
5 Mei 2025
Ramani na Maelekezo
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Shughuli za programu
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine8
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.5
Maoni 14.9M
5
4
3
2
1
kevo higz
Ripoti kuwa hayafai
23 Februari 2023
🙋👌👍
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Timotheo Joseph
Ripoti kuwa hayafai
4 Juni 2022
Excellent
Watu 3 walinufaika kutokana na maoni haya
Kailash Malviya
Ripoti kuwa hayafai
19 Desemba 2021
Super uber app
Watu 8 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
Tunaboresha App ya Uber mara kwa mara ili kuifanya kuwa ya haraka na ya kuaminika zaidi. Toleo hili linajumuisha marekebisho kadhaa ya hitilafu na maboresho ya utendakazi.
Je, unaipenda App hii? Tafadhali tutathmini! Maoni yako ni muhimu katika kuendesha huduma za Uber. Je,una swali? Bonyeza kitufe cha Usaidizi katika app ya Uber au utembelee uber.com.